Tuesday, May 1, 2018

TANGAZO

Habari!!!!!!!!
Ndugu wafuatiliaji wa blogi yetu,tunapenda kuwajulisha kuwa sasa unaweza kudownload notes za "Introduction to plant physiology" kwa kubonyeza HAPA au kutembelea ukurasa wetu wa Introduction to plant physiology   Uliopo katika lisiti ya menyu hapo homepage.



Usisahau kucomment wala kutujulisha kwa lolote,

 


Kwa mawasiliano;
Whatsapp,Call, SMS 0622576274, 0745680006, 0717130504,0746289743

Asanteni.

No comments:

Post a Comment