Thursday, April 19, 2018

Karibu!!!!
Blogi hii inakuwezesha kupata Nakala za usomaji katika kozi mbalimbali zinazotolewa kwa Wanafunzi wa CNMS (BSC-ED 2017/180, BIO/CHEM)
Pia unaweza kupata Maswali,Mitihani,Vitabu,Video tutorials na Majalada mbalimbali kwa ajili ya maandalizi ya Mitihani,kazi na Majaribio ya kozi hizo.
Twawaomba wanafunzi wenye nia njema kushare materials mbali mbali aidha kwa kututumia ili kuweza kuwafikishia wote kwa njia hii.



Kwa Ushauri na maoni yako tuwasiliane kwa nyenzo zifuaotazo;


Whatsapp,Call, SMS 0622576274, 0745680006, 0717130504,0746289743

No comments:

Post a Comment