Monday, April 30, 2018

TANGAZO

Habari!!!!!!
Ndugu wafuatiliaji wa blogi yetu,tunapenda kuwajulisha kuwa sasa unaweza kupata Video Tutorials za BI 122 na CH 121 katika ukurasa wa "VIDEO TUTORIALS" wa Blogi hii Na hivi karibuni utapata tutorials mbali mbali za Course zingine.

Usisahau kucomment wala kutujulisha kwa lolote,

Kwa mawasiliano;
Whatsapp,Call, SMS 0622576274, 0745680006, 0717130504,0746289743

Asanteni.



No comments:

Post a Comment