Wednesday, May 9, 2018

TANGAZO

Habari!!!!
Fungua Udombsceducation ili upate!!!!
 1. Biology Syllabus katika ukurasa wa GENERAL SCIENCE TEACHING METHODOLOGY
 2.Sample ya SCHEME OF WORK katika ukurasa wa GENERAL SCIENCE TEACHING METHODOLOGY
 3.Introduction to plant physiology Compedium katika ukurasa wa  INTRODUCTION TO PLANT  PHYSIOLOGY
 4.Video Tutorials za Chemistry,Biology kwenye ukurasa wa VIDEO TUTORIALS




Usisahau kucomment wala kutujulisha kwa lolote,

 


Kwa mawasiliano;
Whatsapp,Call, SMS 0622576274, 0745680006, 0717130504,0746289743
 

Tuesday, May 1, 2018

TANGAZO

Habari!!!!!!!!
Ndugu wafuatiliaji wa blogi yetu,tunapenda kuwajulisha kuwa sasa unaweza kudownload notes za "Introduction to plant physiology" kwa kubonyeza HAPA au kutembelea ukurasa wetu wa Introduction to plant physiology   Uliopo katika lisiti ya menyu hapo homepage.



Usisahau kucomment wala kutujulisha kwa lolote,

 


Kwa mawasiliano;
Whatsapp,Call, SMS 0622576274, 0745680006, 0717130504,0746289743

Asanteni.

Monday, April 30, 2018

TANGAZO

Habari!!!!!!
Ndugu wafuatiliaji wa blogi yetu,tunapenda kuwajulisha kuwa sasa unaweza kupata Video Tutorials za BI 122 na CH 121 katika ukurasa wa "VIDEO TUTORIALS" wa Blogi hii Na hivi karibuni utapata tutorials mbali mbali za Course zingine.

Usisahau kucomment wala kutujulisha kwa lolote,

Kwa mawasiliano;
Whatsapp,Call, SMS 0622576274, 0745680006, 0717130504,0746289743

Asanteni.



Tuesday, April 24, 2018

TANGAZO;

Habari!!!!
Ndugu wafuatiliaji wa blogi yetu,tunapenda kuwajulisha kuwa hivi karibuni kutakuwa na Video tutorials za kwenye ukurasa wetu ambazo.

Thursday, April 19, 2018

Karibu!!!!
Blogi hii inakuwezesha kupata Nakala za usomaji katika kozi mbalimbali zinazotolewa kwa Wanafunzi wa CNMS (BSC-ED 2017/180, BIO/CHEM)
Pia unaweza kupata Maswali,Mitihani,Vitabu,Video tutorials na Majalada mbalimbali kwa ajili ya maandalizi ya Mitihani,kazi na Majaribio ya kozi hizo.
Twawaomba wanafunzi wenye nia njema kushare materials mbali mbali aidha kwa kututumia ili kuweza kuwafikishia wote kwa njia hii.



Kwa Ushauri na maoni yako tuwasiliane kwa nyenzo zifuaotazo;


Whatsapp,Call, SMS 0622576274, 0745680006, 0717130504,0746289743